Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale
wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni
kama haya:
Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,kupendelea sana kuangalia
picha za uchi,Kusahausahau,Kupendelea story za mapenzi,Kutokwa damu
nyingi wakati wa hedhi (Mke),Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine
(tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),Kuumwa na kichwa,Kukakamaa
mgongo (wanaume),Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,Kupoteza umakini ktk
kazi (efficiency),Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga
utaambukizwa kirahisi mno,Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi
kuwa nayo ili iwe mbadala
ADS

tangazo kwa wasanii wanaopenda kutoka kimziki, usambaze mziki wako kwenye blog mbalimbali nchini ili uweze toka kimziki, je unataka kuutangaza mziki wako zaid ya nchi kumi kwa kuuweka kwenye blog mbalimbali kubwa TANZANIA wasiliana nasi wathsap 0768649181 au 0656475442
POST
Saturday, 8 July 2017
Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu
Diterbitkan July 08, 2017
Tags
Artikel Terkait
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon